Kuna Wakati Unaweza Kujikuta Unaonea Mtu Wivu Kusema Kwamba Mbona Yule Ana Uwezo Mdogo Kuliko Mimi, Hajui Kazi Kama Mimi Lakini Ndio Yuleee Unamuona Anapeta Tu Ulimwenguni Huko!
.Hata Mimi Nilikuwa Sielewi Nikiona Kitu Kama Ichi Inakuwaje Kuwaje Hii...
.
Wivu Ni Dhambi Lakini, Hahaha... ACHA KUWA NA WIVU!
.
Lakini Ukweli Ni Huu
.
Kujua Kazi Na Kupata Kazi Ni Vitu Viwili Tofauti..
.
Kuwa na Uwezo Na Kujua Kuuonyesha Uwezo Uliokuwa Nao Ni Vitu Viwili Tofauti!
.
Ambacho Wengi Tunachelewa Kukijua Ni Hiki,
.
Kila Kitu Kina Njia Zake..
.
Njia Unazotumia Kujua Kazi, Kujenga Uwezo Wako..
.
Haziwezi Kufanana na Njia Ambazo Unatakiwa Utumie Ili Upate Kazi..
.
Niliwahi Kuaminishwa Eti Wewe Ukiwa na CV Nzuri Tu Sio Rahisi Kukosa Michongo..Ooh, wewe..
.
Mzee Kuna Watu Ukikutana Nao Wanajua Mambo, Wako Na Ma Experience Makubwa Huko Nje Eti Hadi Unashangaa Inakuaje Na Huyu Kwa Uwezo wake, Kwa CV Yake Ana Struggle Hivi..
.
Iko Hivi Unaweza Kuwa na Bidhaa Nzuri Sana, Lakini Kama Hujui Kuuza Basi BIASHARA Imeishia Hapo!
.
Unaweza Kuwa Na Uwezo Mkubwa Mno Lakini Kama Huo Uwezo Wako Kama Hakuna Anayejua Basi BIASHARA Imeishia Hapo!
.
So Kufikia Unapotaka Unahitaji Combination Ya Vitu Zaidi ya Kimoja..
.
Ndani ya Video Hii Nimekuonyesha Ni Vitu Gani Hivyo:
.
.
.
Tags:
Jobs
